Sio bahati, ni mfumo. Jifunze jinsi ya kuacha "Kusubiri" wateja na kuanza "Kuwaunganisha" inbox kwako leo.
Umewahi kujiuliza kwa nini kuna mafundi keki wanapata oda nyingi kila wiki wakati wewe una keki tamu zaidi? Jibu ni fupi: Wao hawashindi wakisubiri; wao wanawafuata wateja walipo.
Tanclick Company Limited inakuja na mfumo wa Direct Customer Connection unaokutoa jikoni na kukuweka mbele ya macho ya wenye sherehe zao.
Tunakuunganisha na vituo na taasisi zenye sherehe kila wiki. Tunakufanya uwe mtoa huduma wa kwanza anayepigiwa simu.
Maofisi yana birthday kila siku! Sisi tunakuwa 'Sales Agent' wako—tunatambulisha keki zako maofisini wakati wewe unapika.
Tunatengeneza mtandao wa watu wanaokusemea vizuri. Wateja wanaokuja kwa 'Mapendekezo' ndio wenye faida zaidi.
Tunahakikisha mtaa wako mzima unajua kuna 'Master Baker'. Hutatafuta mteja mbali, mteja yupo jirani yako.
Mbinu hizi zinahitaji ushawishi na muda mwingi. Ukijaribu kufanya mwenyewe, keki zitaungua au utashindwa kufatilia oda.
Gharama ya Uanachama:
Tsh 50,000/=Ni kama unalipa 1,600/= tu kwa siku!
Usiruhusu keki zako za kishua ziliwe na mchwa. Wape walaji wanaozitafuta.
Nipeleke Inbox kwa Wateja! 🧁