Tunabadilisha namna biashara zinavyopata wateja Tanzania. Hatutoi tu matangazo, tunatengeneza daraja la kudumu la mauzo yako kupitia mfumo wa DCCS.
Hatupeleki matangazo yako kwa kila mtu. Tunatumia algoriti za kisasa kuchambua soko na kuwatambua wateja ambao wana nia halisi ya kununua leo.
Mfumo wa DCCS unaondoa vizuizi. Wateja wako hawataishia ku-comment; wataingia moja kwa moja kwenye WhatsApp yako wakiwa na ujumbe kamili wa bidhaa wanayotaka.
Tunakupa silaha za mwisho. Kuanzia namna ya kujibu wateja hadi kufanya follow-up zenye heshima zinazozalisha fedha.
Hatuna gharama zilizojificha. Lipia huduma unayohitaji kukuza biashara yako.
Unalipia kwa mwezi mmoja, hakuna mkataba wa lazima wa muda mrefu.
Wigo wa Huduma Yetu
Maalum kwa wajasiriamali, maduka, na biashara zinazochipukia zinazohitaji kupata wateja wa kwanza wa uhakika na kujenga jina sokoni kwa gharama nafuu.
Suluhisho kwa makampuni, taasisi na biashara zinazokua zinazohitaji kuongeza kasi ya mauzo, kuimarisha mfumo wa mawasiliano na kudhibiti mtiririko wa wateja wengi.
Mifumo thabiti kwa mashirika, kampuni kubwa na taasisi za kimataifa zinazohitaji uunganishaji wateja kwa kiwango kikubwa (Scale) na usimamizi wa hali ya juu wa leads.
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Tanclick Company Limited ni kampuni ya huduma za masoko na mawasiliano ya kibiashara inayosaidia wafanyabiashara kuboresha uonekano na uratibu wa shughuli zao za kufikia wateja.
Ni huduma inayolenga kusaidia biashara kuwasiliana na soko lake kwa njia iliyopangwa, kitaalamu na endelevu kupitia mifumo ya kisasa ya uunganishaji.
Inafaa kwa biashara ndogo, za kati na zinazokua zinazohitaji msaada wa kibiashara katika kufikia na kushughulikia wateja kwa weledi.
Hapana. Huduma inalenga kusaidia na kuboresha mchakato wa biashara ili kuwa na tija, si kutoa ahadi za matokeo maalum (yaani, hatuhakikishii idadi ya mauzo).
Huduma hutolewa kwa mfumo wa malipo ya kila mwezi kulingana na mahitaji ya mteja au kifurushi kilichochaguliwa.
Kifurushi kinajumuisha huduma za kufikia wateja, kuongeza uonekano wa biashara, uratibu wa mawasiliano, msaada wa mauzo, ufikiaji wa soko na ripoti ya kila mwezi.
Ndiyo, mteja anahitajika kutoa taarifa sahihi za biashara yake (maelezo ya bidhaa, picha, bei) ili huduma itekelezwe kwa ufanisi.
Hapana. Huduma nyingi hutolewa kwa mfumo wa mwezi hadi mwezi, hivyo hufungwi na mkataba wa mwaka mzima.
Huduma zetu zinapatikana Tanzania nzima. Mawasiliano na uratibu hufanyika kidijitali bila kujali ulipo.
Unaweza kuwasiliana nasi kupitia mawasiliano rasmi yaliyopo kwenye tovuti yetu (Namba ya simu, Barua pepe au WhatsApp).