Tanclick company limited

Kuhusu Sisi | Tanclick Premium

Tanclick Company Ltd

Sisi ni Daraja la
Mafanikio Yako.

Zaidi ya kampuni ya masokoโ€”sisi ni washirika wako wa ukuaji tukitumia
weledi na teknolojia ya kisasa nchini Tanzania.

Timu ya Tanclick

Hadiyth Yetu

Tanclick ilianzishwa kwa dhumuni moja kuu: Kurudisha heshima ya biashara ndogo na za kati. Katika soko lililojaa kelele nyingi za kidijitali, sisi ni sauti ya uratibu.

Timu yetu imejitolea kuhakikisha kila mteja anapata huduma bora kupitia mfumo wa DCCS ambao leo unasaidia mamia ya wafanyabiashara kuunganishwa na wateja halisi bila kupoteza muda.

500+

Wateja Waliofikiwa

98%

Kuridhika kwa Wateja

24/7

Usaidizi wa Kiufundi

10M+

Digital Reach

๐Ÿš€

Dira Yetu

Kuwa kitovu kikuu cha ubunifu wa kibiashara na masoko ambapo kila mjasiriamali wa Kitanzania anapata msaada wa kisasa, wenye uwazi na matokeo yanayoonekana.

๐Ÿ’Ž

Dhima Yetu

Kuwezesha biashara kupata ukuaji endelevu kupitia uratibu wa mawasiliano ya kidijitali, huduma bora za uongozi wa masoko, na kutoa ripoti sahihi za maendeleo.

Misingi Yetu

Uwazi

Hakuna gharama zilizofichwa. Kila kitu kipo wazi kwa mteja.

Ubunifu

Hatuandai matangazo ya kawaida; tunaandaa suluhisho la soko.

Utaratibu

Mfumo wetu ni wa hatua kwa hatua kwa usalama wa biashara yako.

Matokeo

Hatupimi jitihada, tunapima idadi ya wateja wanaoingia WhatsApp.

Tayari Kufanya Mapinduzi?

Jiunge na familia ya Tanclick leo, na uone biashara yako ikipata heshima inayostahili.

Anza Leo Hapa