Tanclick company limited

Siri ya Oda za Keki | Tanclick Blog Premium

🍰 Siri ya Oda za Keki
Kila Wiki!

Sio bahati, ni mfumo. Jifunze jinsi ya kuacha "Kusubiri" wateja na kuanza "Kuwaunganisha" inbox kwako leo.

Kwanini Simu Yako Imetulia?

Umewahi kujiuliza kwa nini kuna mafundi keki wanapata oda nyingi kila wiki wakati wewe una keki tamu zaidi? Jibu ni fupi: Wao hawashindi wakisubiri; wao wanawafuata wateja walipo.

"Soko la keki sasa hivi ni vita. Kuposti Status pekee ni kama kupiga kelele katikati ya disco lenye muziki mnene—hakuna anayekusikia."

Tanclick Company Limited inakuja na mfumo wa Direct Customer Connection unaokutoa jikoni na kukuweka mbele ya macho ya wenye sherehe zao.

🎂 🧁

Unyama Tunaoufanya Kwako

🤝

Strategic Partnerships

Tunakuunganisha na vituo na taasisi zenye sherehe kila wiki. Tunakufanya uwe mtoa huduma wa kwanza anayepigiwa simu.

🏢

Corporate Outreach

Maofisi yana birthday kila siku! Sisi tunakuwa 'Sales Agent' wako—tunatambulisha keki zako maofisini wakati wewe unapika.

💎

Referral Networks

Tunatengeneza mtandao wa watu wanaokusemea vizuri. Wateja wanaokuja kwa 'Mapendekezo' ndio wenye faida zaidi.

🚀

Hyper-Local Domination

Tunahakikisha mtaa wako mzima unajua kuna 'Master Baker'. Hutatafuta mteja mbali, mteja yupo jirani yako.

Wewe Pika, Sisi Tutauza!

Mbinu hizi zinahitaji ushawishi na muda mwingi. Ukijaribu kufanya mwenyewe, keki zitaungua au utashindwa kufatilia oda.

Gharama ya Uanachama:

Tsh 50,000/=

Ni kama unalipa 1,600/= tu kwa siku!

Master Baker