Hatua za Maandalizi
Fafanua Bidhaa Yako
Kuwa na orodha ya bidhaa au huduma unazotaka kuzitangaza zaidi mwezi huu pamoja na bei zake.
Andaa "Visuals" Nzuri
Picha au video fupi zenye ubora ndizo zinazovutia macho ya wateja kwenye mitandao.
Weka Lengo la Mauzo
Unahitaji wateja wangapi wapya mwezi huu? Hii inatusaidia kupanga bajeti ya matangazo yako.
* Usijali kama huna vyote tayari. Wataalamu wetu watakusaidia kutengeneza mkakati kuanzia mwanzo.
Maswali ya Haraka
Je, mnaanza lini kazi?
Tunatayarisha mkakati ndani ya saa 24-48 baada ya kukamilisha malipo na kuanza kufanya utafiti wa soko.
Nahitaji bajeti kiasi gani?
Bajeti inategemea ukubwa wa biashara yako. Tuna vifurushi kuanzia biashara ndogo hadi makampuni makubwa.
Je, nitapata ripoti?
Ndiyo, tunatoa ripoti ya kila mwezi inayoonyesha wateja wangapi wamepatikana na ukuaji wa biashara yako.