P.O.BOX 838 MAFISA NYERERE- MOROGORO
MOB: +255658153554, +255612931502, +255744155560
The best ict & digital marketing agency
Tanclick Company Limited inakuletea huduma rahisi na nafuu ya kutengeneza posters 20 kila mwezi kwa ajili ya biashara yako, zenye ubora na mvuto wa kibiashara. Huduma hii hukuwezesha kuwa na matangazo mapya kila siku za kazi, na ukiwa bize, tunakusaidia pia kuyaposti moja kwa moja kwenye Instagram yako.